Karia kulamba shilingi milioni 204 kwa mwezi
Kwenye kikao cha 46 cha Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) 2024 nchini Ethiopia wamepitisha posho mpya ambazo Marais wa Mashirikisho Wanachama watakavyolipwa na Marais wa vyama vya Kikanda watakavyolipwa kwa mwaka.
Mfano Rais Karia wa TFF atapokea dola 50,000 kama Rais wa TFF na atapokea dola 25,000 kama Rais wa CECAFA ambapo jumla kwa mwaka anachukua dola 75,000 za Kimarekani ambazo ni sawa na Million 204,580,500 za Kitanzania kwa mwaka! MILLION 204 sawa na MILLION 17 kwa mwezi.