JS Kabylie kuibomoa Yanga
Klabu ya JS Kabylie ipo tayari kuvunja mkataba wa Gamondi na Yanga ili waweze kumchukua aweze kua Kocha wao mkuu.
Klabu hiyo inayonolewa na aliyewahi kua kocha wa Simba Benchika, inataka kuachana na kocha huyo ili waweze kumpata Gamondi.