JKT Tanzania wapata ajali
Kikosi cha Jkt Tanzania Wachezaji pamoja na benchi la ufundi na Wafanyakazi wengine wa Timu wamepata ajali mara baada ya basi la Timu hiyo kuacha njia na kuangukia Mtaroni Maeneo ya Mbweni
Taarifa hiyo inaeleza Kuwa baadhi ya Wachezaji wamepata maumivu na Wako chini ya Uangalizi wa Madaktari , Wamo Wachezaji John Bocco , Danny Lyanga, Said Ndemla, Hassan Dilunga, Hassan Kapalata,Maka Edward na wengineo