Kocha wa Yanga ameendelea kulalamikia changamoto kubwa wanayokumbana nayo na inapelekea timu yake kukosa mwelekeo.
"Mazingira haya. changamoto kubwa tunayokumbana nayo sio tu michezo mingi kwa wakati mfupi bali uchovu wa safari.
Tumetokea Arusha, awali ya hapo wachezaji wangu wengi walikuwa nje ya mipaka ya Tanzania. Leo tupo hapa na baada ya kesho tunapaswa kurejea Dar” alisema Miguel Gamondi