Fadlu ambakiza Ngoma, Simba
Kocha wa Simba, Fadlu Davids amekiri anashangaa kusikia kwamba mchezaji wa Simba Fabrice Ngoma anataka kuondoka mwishoni mwa msimu kutokana na kiwango chake kushuka, lakini ameweka wazi kiungo huyo ataendelea kusalia mitaa ya Msimbazi.
"Nimekua nikiskia watu wakiongea Fabrice Ngoma anaondoka,Fabrice ni mtu muhimu kwa hii team na ni kiongozi mzuri uwanjani", anasema Fadlu.
kwa kifupi tu NGOMA kashaanza kumuelewa kocha anataka nini na kocha kashaanza kumuelewa Ngoma uwezo wake
Kama Kuna mtu anahisi Ngoma anaondoka January basi mkeka umechanika.