Clara Luvanga amlalamikia refa


"Imetokea shida kidogo refa ameshindwa kuchezesha mechi. Senegal walikuwa wakorofi sana. Ukiangalia hiyo mechi, wao ndio muda wote walikuwa wakianzisha vurugu. Hapo unapoona hiyo video mpira ulitoka na Tanzania ndio tulitakiwa kurusha, wakati tunataka kurusha, ndilo walinzi wakaanzisha ugomvi kutaka kumpiga Opah, mimi nikaenda kuamulia ndio unaona wanakuja watu wengine na kuanza kunipiga! Kwa hiyo ndio ikatokea hivyo kama unavyoona tumezulumiwa penalty" Clara Luvanga Mchezaji Wa Twiga Stars

⛔️ Sifurahiishwi Na Twiga Stars Kuanziisha Ugomvi Ila Naweza Kumtetea Clara Kwa Mambo Matatu Makubwa.

1. Mareefa Walikuwa Wapi Wakati Sukuma Sukuma Zikianza Na Kuendelea?
Wote Walikaa Pembeniiiii Hadi Pale Watu Wa Nje Walipoamua Kuingilia.

2. Wakati Clara Anaenda Kumuokoa Mchezaji Mwenzake Opah Asimizwe Linatokea Kundi La Wachezaji Wa Senegal Na Kuanza Kumshambulia Clara Je,Refa Alikuwa Wapi?
Alikuwa Zake Pembeni Anaangalia Ugomvi.

3. Matukio Yote Ya Ugomvi Yalianzishwa Na Senegal Je,Alichukua Hatua Gani Tofauti Na Kusuluhisha?

Refa Ametuharibia Mchezo Lakini Pia Ametuchafulia Cv Yetu


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA