Benchikha akalia kuti kavu

Aliyekuwa kocha wa Simba Sc, Abdelhak Benchikha anakalia ‘kuti kavu’ ndani ya klabu yake JS Kabylie ya Algeria baada ya klabu hiyo ya Ligi kuu Algeria kuambulia pointi 6 tu kwenye mechi 5 za Ligue 1 huku ikikamata nafasi ya 10 kwenye msimamo.

Taarifa kutoka Nchini humo zinaeleza kwamba kocha huyo wa zamani wa USM Algers amepewa mechi 3 tu za kujiuliza kabla ya kutupiwa virago ikiwa klabu hiyo itaendelea kuwa na mwenendo usioridhisha.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI