TANZANIA BARA, ZANZIBAR HAKUNA MBABE
Time za taifa za Tanzania bara, Kilimanjaro Stars na Zanzibar, Zanzibar Heroes zimetoka sare isiyo na mabao usiku huu katika uwanja wa Amaan, visiwani Zanzibar.
Mchezo huo wa kirafiki ulikuwa ni maalum kwa ufunguzi wauwanja mpya wa Amaan ambao umekamikika baada ya kufanyiwa matengenezo mapya chini ya serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inayoongozwa na Rais wa Zanzibar Hussein Ali Mwinyi