SIMBA YARUDI TENA KWA YAHYA MBEGU
Klabu ya Simba imeanza mazungumzo na Menejiment ya mlinzi wa kushoto wa Singida Fountain Gate, Yahya Mbegu ili kuipata saini ya mchezaji huyo katika dirisha dogo la usajili.
Yahya Mbegu bado anahitajika na Klabu ya Simba ili kuongeza nguvu kwenye eneo la kushoto ambalo hivi sasa linahudumiwa na mlinzi wa kushoto Mo Hussein.