SIMBA NA YANGA KUVUNA BIL 153 WAKISHIRIKI KOMBE LA DUNIA

Unaambiwa endapo Klabu mojawapo kati ya Simba au Yanga ikifanikiwa kufuzu kucheza kombe la Dunia la klabu kwa mwaka 2025 basi itakabidhiwa kitita cha Euro Millioni 50+ ambazo ni sawa na shilingi za kitanzania Bilioni 153+ kwaajili ya kufanya maandalizi binafsi.

Pesa hiyo huongezeka kadiri mshiriki anapozidi kusogea katika hatua za mbele zaidi kama robo, nusu na fainali ya kombe hilo huku bingwa akikabidhiwa Euro Milioni 100 sawa na shilingi Bilioni za kitanzania 276 na Milioni 300+.

Njia pekee ya Simba na Yanga kushiriki kombe hili kwa mwaka 2025 ni kuhakikisha zinalitwaa Kombe la #CAFCL msimu huu lasivyo hawatokidhi vigezo vya kupata nafasi hii.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA