SIMBA KUIBOMOA JKU
Klabu ya Simba ipo kwenye rada ya kuimarisha safu yake ya ulinzi na wanatajwa kuanza kumuwinda beki wa JKU ya Zanzibar Mcameroon Jean Jospin Engola.
Beki huyo mwenye urefu wa futi 6 na inchi 2 na uwezo mkubwa wa kujilinda na mipira iliyokufa, aliwahi kucheza Lagalax Marekani Na Coton Spots ya Cameroun.