NYOTA MONASTIR YA TUNISIA KUTUA SIMBA


Simba imepanga kusajili wachezaji wasiopungua 5 katika usajili wa dirisha dogo.

Ladack Chasambi tayari ni Mnyama, kwasasa inataka kupindua dili la Edwin Balua kujiunga na Sarpsborg 08 ya Norway Mazungumzo yamefikia hatua nzuri.

Kiungo Mkabaji Babacar Sarr (26) wekundu wa Msimbazi akitokea Monastir

Dili lake limefikia hatua nzuri, kama kila kitu kitaenda kama kilivyopangwa, basi wiki hii anatarajia kutua Tanzania kwaajili ya kukamilisha usajili huo.

Valentino Mashaka kutoka Geita Gold FC anatajwa kwenye mazungumzo ya mabosi wa Simba but Nothing Serious, hadi sasa hajapata ofa rasmi.

Pia, Kwa mujibu wa @kiddy87_jr : Klabu ya Simba imekamilisha deal la mchezaji raia wa Colombia Mauricio Cortés, ambaye Viongozi walikuwa kwenye mazungumzo na wakala wake Ceballos na makubaliano yamekalika.

Mchezaj huyo atajiunga na Simba mpaka mwaka 2025, Mkataba wa Miaka miwili .


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA