MSUVA AMALIZANA NA YANGA
Na Salum Fikiri Jr
Mshambuliaji Simon Msuva anatajwa kujiunga na mabingwa wa soka Tanzania bara Yanga SC na muda wpwote kuanzia sasa anaweza kutambulishwa.
Msuva ambaye pia anaichezea timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars hivi karibuni alivunjiwa mkataba wake na timu ya JS Kybalie ya Algeria.
Msuva pia amewahi kuichezea Wydad Casablanca ya Morocco na pia aliwahi kucheza Saudi Arabia