MIL 40 KUMSHUSHA MODIBA MSIMBAZI
Aubrey Modiba ambaye ana husishwa kuwindwa na timu ya Simba SC kwa mwezi anakunja milion 39 akiwa pale Mamelodi Sundowns.
Nyota huyu ambaye kwa sasa hucheza nafasi ya kiungo wa kati Soccer Laduma wameripoti anasakwa na Wekundu wa Msimbazi.
Ili Simba SC wamshawishi Modiba lazima wapande Dau kubwa zaidi na bonasi za kutosha Kwa sababu Mamelodi Sundowns mshahara wake ni Randi 290000 kwe mwezi hivyo Ukigeuza Kwa Shilingi hapo inakuwa Milion 39 ....Pointi kadhaa nyota huyu anachukua .