MBADALA WA LOMALISA YANGA HUYU HAPA
Na Elius John
Yanga imedhamiria kuboresha kikosi chake kila mahali ambapo tayari imetua upya nchini DR Congo, kwa ajili ya kukamilosha dili la kumpata beki wa kushoto, Kasapu lbrahim Abduol ambaye anakipiga Maniema Union ya DR Congo.
Abduol anakuja kuchukua nafasi ya Joyce Lomalisa ambaye mkataba wake na Yanga unamalizika mwishoni mwa msimu huu na Hadi Sasa hajasaini mkataba mpya licha ya kushawishiwa afanye hivyo