KILIMANJARO STARS WAIFUATA ZANZIBAR HEROES
Timu ya taifa ya Tanzania bars, Kilimanjaro Stars imeanza safari ya kuelekea Zanzibar ambapo itaenda kucheza na timu ya taifa ya Zanzibar, Zanzibar Heroes mchezo wa kirafiki wa kudumuhisha muungano.
(Pichani) Wachezaji wa timu ya Tanzania Bara (Kilimanjaro Stars) wakiwa Bandarini, Dar es Salaam kwa safari ya Zanzibar kucheza mchezo maalumu wa kirafiki kufungua uwanja w Amaan, mchezo utakaochezwa Desemba 27, 2023.