CHE MALONE ATEMWA, ATEBA AJUMUHISHWA CAMEROON
Mshambuliaji hatari wa Dynamo Douala, Leonel Ateba amejumuishwa kwenye kikosi cha Wachezaji 55 wa Cameroon kitakachoelekea nchini Ivory Coast kwa ajili ya michuano ya AFCON 2023.
Huku mlinzi Che Malone aliyetajwa kwenye kikosi cha awali ameondolewa kwenye kikosi hicho cha Kocha Mkuu Rigobert Song wa Cameroon.