SAWADOGO AIBANA SIMBA


Klabu ya Simba SC imeshindwa kufikia makubaliano na kiungo Ismael Sawadogo raia wa Bukinafaso kuhusu kuvunja mkataba wake baada ya nyota huyo kutaka kulipwa fedha yote dola 300,000 (zaidi ya milioni 700 za kitanzania) za kuvunja mkataba wake.

Kwa sasa Simba wanatafuta timu ya kumpeleka kwa mkopo na wakikosa timu nyota huyo atabaki Simba kwa msimu ujao.