MATOLA AREJESHWA TENA SIMBA
Leo tumemtambulisha rasmi Kocha Selemani Matola kuwa Kocha mkuu wa timu zetu za vijana chini ya miaka 17 na 20
Pia tumemtambulisha Patrick Rweyemamu kuwa Mkuu wa Programs za vijana za Simba
Kwanini Patrick na Matola, wawili hawa wana uzoefu mkubwa kwenye eneo hili la vijana, tunaaamini watafanya makubwa kama ambavyo walifanya hapo awali