Yanga nao wafuata ndumba Moro

Na Mwandishi Wetu

Homa ya mpambano we watani wa jadi katika soka la Tanzania imepamba moto ambapo tayari vilabu vikongwe vimeshaanza kulikimbia jiji la Dar es Salaam.

Simba wao wameenda kujificha Zanzibar kwenye marashi ya karafuu wakati Yanga wameondoka zao kuelekea mji kasoro bahari Morogoro, Yanga na Simba zitaumana siku ya Jumapili kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, katika mchezo uliopita Yanga iliifunga Singida United mabao 2-0

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI