Kuziona Yanga na Simba ni buku saba
Na Ikram Khamees. Dar es Salaam
Shirikisho la soka Nchini Tanzania (TFF) limetaja Viingilio vya mchezo wa tarehe 29 mwezi wa nne, kati ya Vigogo wa soka Nchini Tanzania Simba Sc na Yanga Sc.
TFF imetaja viingilio hivyo kuwa
VIP A itakua Tsh 30,000/=
VIP B&C itakua Tsh 25,000/=
Huku mzunguko ikiwa ni Tsh 7,000/= Tu.
Tiketi hizo zinapatikana kwa njia ya Selcom.
Mchezo huo utapigwa katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.