VJ PENNY KUTANGAZA FILAMU ZA KITANZANIA KATIKA TV YA KIMATAIFA

Vipindi vya TV kuhusu filamu za kitanzania vinazidi kuongezeka kila siku katika harakati za kuzidi kuitangaza tasnia ya filamu Swahiliwood.

Habari mpya ni kuwa mtangazaji maarufu nchini VJ Penny soon ataonekana katika kipindi kipya kinachohusu filamu za kitanzania ambacho kitaonekana katika kituo cha kimataifa kinachoonekana nchi za Afrika mashariki na kati.


Mishe mishe za kipindi hicho tayari zimeanza kwa kasi ambapo pia Penny atasaidiwa kwa ukaribu na Rio Paul ambaye ni fashion designer na pia celebrities' stylist.

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA