MCHUMBA WA DIAMOND APATA MUME
Mtangazaji maarufu nchini VJ Penny ambaye alikuwa mpenzi wa Diamond Platnumz amechumbiwa !...well kupitia Instagram Penny ameweka picha akiwa amevaa pete ya uchumba.
Pia juzi ilisikia kuwa penny amechumbiwa ingawa hatukupata habari kwa kina mpaka Penny mwenyewe alipoweka picha Instagram inayoonyesha ameshachukuliwa tayari ingawa haijajulikana amechumbiwa na mwanaume gani. Vj Penny ameandika "Road trip..........site here we come....Cc @HalimaKimwana1"
Kwa upande mwingine nako kunasema kuwa mama Diamond amesema kuwa ni lazima Diamond amuoe Wema Sepetu. Inadaiwa mama Diamond ameyasema hayo juzi katika birthday yake ambapo alizawadiwa gari na Diamond ambaye hakuwepo nchini lakini Wema alikuwepo kwenye shughuli hiyo.