PATA PICHA ZA MAZOEZI YA KLABU YA YANGA YALIYOANZA RASMI LEO.

Mabingwa wa soka nchini Yanga leo asubuhi wameanza mazoezi yao rasmi kwa ajili ya maandalizi yao ya mechi ya Ngao ya Hisani dhidi ya hasimu wao Simba mechi inayofahamika kama mtani jembe.

Mabingwa hao wanaonolewa na Mholanzi Ernie Brandts wa,eanza mazoezi yao huku kipa wao mpya Juma Kaseja aliyesajiliwa hivi karibuni akitokea kwa mahasimu wao Simba alionekana kuwa furaha.

Tayari mabingwa hao wameweka mikakati yao ya kutetea ubingwa wao walioutwaa msimu uliopita huku wakitaka kufika mbali katika ligi ya mabingwa barani Afrika. Pata picha zote za mazoezi kwa niaba ya BIN ZUBEIRY BLOG








Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA