MCHAWI WA DIAMOND KUWABEBA NYOTA BONGO STAR SEARCH

Produza wa Hits mbalimbali za Bongo Fleva Sheddy Clever Aliyepewa nafasi ya kufanya Kazi na wasanii wawili wa Bongo Star Search 2013 ambao ni Emanueli na Mandela amepania kuwatoa kisanii wakali hao ambao wamekwisha anza mchongo wa kurecods Ngoma Moja moja kwa kila mtu ndani ya Studio za Burn Records pande za Tabata.

“Mimi na wasanii wa Epiq Bongo Star Search Emanueli na Mandela katika Studio ya Burn Record tukifanya yetu”Alifunguka Sheddy

Kwa wale ambao wanamtambua Sheddy Clever inajulikana kuwa ni mkali wa kutengeneza Ngoma za kuimba imba ambapo katika siku za karibuni alitengeneza Ngoma ya My Number 1 ya Diamond Platnum na Remix ya ngoma hiyo aliyopowe shavu Davido kutoka Nigeria.

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA