Klabu ya Yanga imepanda kwa nafasi 2 kwenye rink za CAF kutoka nafasi ya 12 msimu uliopita mpaka nafasi ya 10 baada ya hatua ya makundi.
Yanga wamefikisha alama 35 kwenye msimamo, kwa upande wa Simba wao wameshuka kwa nafasi 3 kutoka nafasi ya 5 mpaka nafasi ya 8 baada ya michuano ya msimu huu huku wakifikisha alama 38.
Ikumbukwe, misimu mitatu nyuma Yanga walikuwa kwenye nafasi ya 80, hii inaashiria improvement kubwa mno sana.
