Rasmi klabu ya Yanga Princess imemtambulisha mshambuliaji wake mpya Oluwa Samwel Yemis.
Oluwa ambaye amewai itumikia klabu ya Edo Queens na TP Mazembe pia amewai itumikia timu ya taifa ya Nigeria chini ya miaka 20 ana mudu kucheza nafasi zote za ushambuliaji.
Kama atakuwa katika ubora wake pasi na shaka hapa Yanga Princess wameongeza idadi ya magoli, wameongeza mtu anaeweza kukupa magoli 5+ au kutengeneza nafasi zaidi ya 5+ katika mechi kuanzia 10.
