Pamoja na kupenda kusifia wageni tusiache kusifia wachezaji wazawa ambao wanafanya mambo makubwa katika Ligi ya ndani na Michuano ya Kimataifa.
Kutana na Beki Beki Twalib Nuru kutoka Azam FC
Ana uwezo wa kupora mipira
Ana uwezo wa kucheza vyema mipira ya hewani na chini
Ana makadirio mazuri ya muda (timing) katika matukio yote ya hatari ndani ya Uwanja.
