Kocha Othmen Najjar na mchezaji Obasogie Amas wa Singida Black Stars wanasema ni lazima wamalize kwa heshima michuano ya CAF na imekuwa chachu kwao kutamani kurudi tena msimu ujao.
Singida BS ipo Afrika Kusini kucheza mechi ya mwisho ya hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC) dhidi ya Stellenbosch.
Mechi ni kesho Februari 15, saa 1:00 usiku
