Nyota wa Tanzania Simon Msuva na timu yake ya Al Talaba wametoka sare ya 1-1 dhidi ya timu ya Al Karma kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya Iraq.
Msuva alikuwa kwenye kiwango kizuri alipokuwa katika timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars iliyoshiriki fainali za AFCON zilizofanyika nchini Morocco ambapo Stars ilifika hatua ya 16 bora.
