Klabu ya Al Hilal Omduman ya Sudan imefanikiwa kuishusha Simba SC ya Tanzania katika orodha ya viwango vya ubora vimavyotolewa na Shirikisho la soka barani Afrika, CAF.
Al Hilal ambao jana wamefanikiwa kutinga robo fainali ya michuano hiyo na Simba SC kushindwa kuingia robo fainali ikiambulia nafasi ya mwisho kwenye kundi D.
Kwa mujibu wa viwango vya ubora vya CAF, Al Hilal imeishusha Simba kwenye nafasi ya sita na Simba kuangukia nafasi ya name.
1. πͺπ¬ Al Ahly - 66 pts
2. πΏπ¦ Sundowns - 58 pts
3. πΉπ³ Esperance Tunis - 53 pts
4. π²π¦ RS Berkane - 52 pts
5. πͺπ¬ Pyramids - 48 pts
6. πΈπ© Al Hilal - 39 pts
7. πͺπ¬ Zamalek - 39 pts
π. πΉπΏ ππ’π¦ππ - ππ π©ππ¬
9. π©πΏ USMA - 37 pts
ππ. πΉπΏ πππ§π π - ππ π©ππ¬
