Kocha wa Taifa Stars Miguel Gamondi amefanikiwa kuipandisha timu ya Taifa nafasi mbili kwenye viwango vya Fifa vilivyotolewa tarehe 19 januari maarufu (Fifa ranking)Tanzania ilikua nafasi ya 112 hadi nafasi ya 110 huku Uganda wakiporomoka kutoka nafasi ya 85 hadi nafasi ya 88 wakati Kamdomo (Kenya) wakisalia nafasi ya 113 kwenye viwango vya Fifa
Hii imetokea mara baada ya Stars kufanya vizuri kwenye michuano ya Afcon na kufanikiwa kuvuka round ya 16 bora ya Afcon.Morocco wamesogea kutoka nafasi ya 11 Duniani hadi nafasi ya 8 wakati mabingwa wa Afcon Senegal wapo nafasi ya 12 kutoka nafasi ya 19 mwaka jana
