WACHEZAJI wa Simba wakiwa mazoezini jana Jijini Tunis nchini Tunisia kujiandaa na mchezo wa Kundi D Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya wenyeji, Espérance kesho kuanzia Saa 1:00 usiku Uwanja wa Hammadi Agrebi Jijini Tunis.
Mchezo huo utaonyeshwa LIVE na chaneli ya Azam Sports 1 HD ya Azam TV. Umelipia?







