Aliyekuwa scout wa Simba Mels Daalder ameweka wazi kuwa kwenye michuano ya mapinduzi 2025, yaliyoshirikisha timu za Taifa huko Zanzibar, alimuona Jack Diarra akiwa na timu ya Taifa ya Burkinafaso.
Baada ya hapo akaliwasilisha jina lake kwa viongozi wa Simba, ambao hawakuwa tayari kumsajili kwa kuona kiwango chake kidogo, hatimae akatimkia Esperance.
