"Katika soka la leo kila timu ina wachezaji wazuri. Kinachofanya tofauti ni jinsi unavyotumia nafasi zako na jinsi unavyopunguza makosa. Tutahitaji umakini mkubwa, nidhamu na matumizi sahihi ya nafasi.
Tunaheshimu wapinzani wetu lakini tunaamini pia katika uwezo wetu. Kila mechi ni fursa ya kuendelea kukua" Allan Okello
