Luis Miquissone ni mtafutaji ambaye hachoki amepambana sana kurudi kwenye kiwango chake na malipo yake amepata uhamisho wa kujiunga na Al Ahly Benghazi ya Libya.
Uhamisho wa kwenda Al Ahly ya Misri akitokea Simba ulirudisha nyuma career yake na imemchukua muda kurudi katika shape nzuri na sasa ameenda kupata pesa na kucheza mpira.
