Kocha wa Al Ahly, Jess Thorup amesema wamejipanga kucheza dhidi ya timu yenye alama nne kama wao katika kundi ‘B’ la Ligi ya Mabingwa Afrika, hivyo wanatarajia upinzani.
Pichani Kocha Jess Thorup akiwa na mchezaji wake Mohamed Elshenawy katika mkutano na waandishi wa habari kuelekea mechi ya kesho.
Mechi ni kesho Ijumaa saa 1:00 usiku

