Nahodha Shomari Kapombe akiwa na Chama wakionekana kuwa na furaha sana.
Maisha ya mpira yamemfanya Chama kuwa Simba sana ndio maana hawezi kukata kuja kucheza siku zote milango ipo wazi, maoni ni tofauti sana lakini katika harakati za Simba za kuokoa msimu wao,Chama akiwa na jezi nyekundu ni moja ya wachezaji ambao unaweza kuwapa benefit of doubt ya kuisaidia Simba.
