Mchezaji wa Al Ahly Emam Ashour ameomba radhi kwa klabu ya Al Ahly kupitia kwa Meneja wa timu Walid Salah Eldin na kusema hakukusudia kukwazana na mtu yoyote na anaomba radhi akiomba arudishwe kikosini.
Bado klabu haijatoa msimamo wake rasmi na wanasubiri kumaliza mechi ya Yanga kwanza ndio watakaa naye chini kuamua cha kufanya.
