“Uongozi wa Simba wanafahamu wazi kuwa Clatous Chama wa sasa si yule wa zamani, lakini bado wanaona ni chaguo lenye tija zaidi ukilinganisha na Joshua Mutale, ambaye amekuwa akipata ugumu mkubwa kufanya maamuzi sahihi ndani ya boksi la mpinzani.
Ndani ya klabu, kuna kundi la wanachama na viongozi ambao wako tayari kusahau yaliyopita kwa Chama kuliko kuendelea kumuona Mutale akipoteza mwelekeo wa mashambulizi.”
Anaandika Edo Kumwembe
