Kiungo wa kati Balla Conte amejiunga na timu ya Raja Casablanca ya Morocco ambayo ipo chini ya Kocha Fadlu Davids Balla Conte amejiunga na Raja Casablanca kwa mkopo wa miezi sita.
Conte anaondoka leo Tanzania kuelekea Morocco Buba Jammeh amechukua nafasi ya Balla Conte.
Yamga SC imefanikiwa kusalia na wachezaji 12 wa Kigeni kama kanuni inavyosema usajili wa Buba Jammeh dakika za mwisho kuchukua nafasi ya Balla Conte ambae Yanga ilimuachia kwa mkopo dakika za mwisho kabla ya dirisha dogo la Tanzania halijafungwa.
