Muda wowote kuanzia sasa klabu ya Al Ahli Tripoli ya Libya,itatuma ofa ya $2,500,000 (Tsh 6.4 billion) kwenda Azam ili kumpata Fei Toto.
Hii itakuwa ni ofa ya tatu baada ya ofa mbili za mwanzo kukataliwa na Azam.
Tayari kuna makubaliano binafsi kati ya Tripoli na Fei Toto ambapo nyota huyo atalipwa $60,000 (Tsh 153,600,000) kwa mwezi kama dili hilo litakamilika.
Tripoli wanamtaka Fei ndani ya wiki hii.
