Amani Kyata amejiunga na klabu ya Namungo FC akiwa ndiye kocha wa viungo na Utimamu wa Mwili wa wachezaji lakini pia ndiye opposition analyst wa wauaji hao wa Kusini kwenye ligi kuu.
Kyata amewahi kuhudumu kama kocha wa viungo msimu uliopita akiwa na Kagera Sugar kabla ya kujiunga na Namungo pia ni kocha mwenye Fitness Licence na CAF C Diploma
