Mshambuliaji wa Klabu ya Yanga, Prince Dube baada ya kupoteza mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika ugenini dhidi ya Silver Strikers kwa goli 1-0, Nyota huyo ameamua kunyoa nywele na kuwa na muonekano wa kipara.
Ikumbukwe mchezo wa mkondo wa pili wa CAFCL utapigwa Uwanja wa Benjamin Mkapa Dar Es Salaam Jumamosi ya Oktoba 25.
Je, Muonekano wa Dube unaashiria nini kuelekea mechi ya marudiano CAFCL?