Yanga SC wamemuajiri kocha wa zamani wa vilabu vya Sporting Lisbon, De Agosto na timu ya taifa ya Angola,Pedro Valdemar Soares Gonçalves (49).
Kama nilivyoripoti jana kwamba Pira Ureno linakuja Jangwani,now nathibitisha kwamba Pedro Valdemar Soares Gonçalves ni kocha mpya wa Yanga.
Ikumbukwe kocha huyo aliifikisha Angola hatua ya robo fainali kwenye AFCON iliyopita.