Mshambuliaji Paul Peter Kasunda ameanza vizuri NBC Premier League 2025/26..
Amefunga magoli matatu kwenye mechi tano alizocheza akiwa na JKT Tanzania..
Anatupa muendelezo wa kile alichokifanya msimu wa 2024/25 akiwa na Dodoma Jiji alimaliza na magoli 8.
Kwa jinsi JKT Tanzania wanavyocheza na kutengeneza nafasi huwenda @kasunda51 atafunga magoli mengi zaidi ya yale ya msimu uliopita.
Kwenye orodha ya washambuliaji hatari zaidi wa kizawa kwasasa jina la Paul Peter Kasunda lipo.