Baada ya miezi miwili ya uzinduzi na mauzo ya jezi za Simba SC nchini Tanzania, DIADORA wamejiridhisha ni biashara nzuri na watu wana nunua.
Kuanzia Leo jezi zimeanza kuuzwa kwenye tovuti rasmi za kampuni hiyo kupitia DIADORA SOUTH AFRICA
Kupitia chapisho rasmi jezi zitauzwa Rand 599 sawa na Tshs 85,000.