Klabu ya Kagera Sugar inayoshiriki Championship imemtambulisha mlinzi wa zamani wa vilabu vya Mtibwa Sugar, Yanga SC na KMC, Vincent Andrew Chikupe maarufu kama Dante kujiunga nayo msimu huu.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na klabu hiyo, inasema kwamba mlinzi huyo wa kati ataitumikia timu hiyo msimu huu.
𝐔𝐬𝐚𝐣𝐢𝐥𝐢
𝐓𝐮𝐧𝐚𝐲𝐨 𝐟𝐮𝐫𝐚𝐡𝐚 𝐤𝐮𝐛𝐰𝐚 𝐤𝐮𝐦𝐭𝐚𝐦𝐛𝐮𝐥𝐢𝐬𝐡𝐚 Andrew Vincent Chikupe @vicentandrew 𝐤𝐚𝐭𝐢𝐤𝐚 𝐟𝐚𝐦𝐢𝐥𝐢𝐚 𝐲𝐚 𝐊𝐚𝐠𝐞𝐫𝐚 𝐒𝐮𝐠𝐚𝐫 𝐅𝐂 𝐤𝐚𝐦𝐚 𝐦𝐜𝐡𝐞𝐳𝐚𝐣𝐢 𝐰𝐞𝐭𝐮 𝐦𝐩𝐲𝐚, 𝐊𝐚𝐫𝐢𝐛𝐮 Dante
Wanankurukumbi