Licha ya kuahidiwa Tsh Billion 1.7 iwapo wataiondoa Power Dynamos na kutinga hatua ya Makundi CAF Champions League Vipers SC wameshindwa kufua dafu mbele ya wababe hao wa soka nchini Zambia.
Rasmi Vipers SC Wameondoshwa kwenye Mashindano kwa Jumla ya Aggregate (3-2) ambapo mchezo wa leo umetamatika kwa Sare ya (1-1).