Uongozi wa Yanga unafikiria kwa karibu 50% uwezekano wa kumrudisha Khalid Aucho mwezi January endapo hawatoridhishwa na kiwango cha mrithi wake.
Kumekuwa na shaka kiasi juu ya kiwango alichoonesha Mousa Bala Conte hata na mazoezini na viongozi wanatumia miezi 6 hii kumwangalia zaidi.
Endapo hali ikiendelea hivi basi kuna uwezekano Aucho akaja hata kwa mkopo dirisha dogo kisha wakafikiria kumpa mkataba wa kudumu mwisho wa msimu.